Mwalimu kutoka Ghana alivuma mtandaoni baada ya kuweka picha akichora programu ya Microsoft Word kwenye ubao wakati wa darasa la tarakilishi. Baada ya picha yake Owura Kwadwo kusambazwa sana ...