Waliokuwa wakiutumia mtandao wa Jamii Forums kabla ufungwe, wameanza kutoa maoni kwenye mtandao huo wakifurahia kupata jukwaa jingine la kushiriki kwenye mijadala na kupashana habari mtandaoni.
Illuminati ni jina lililopatiwa jamii iliobuniwa miaka 245 iliopita. Jamii hiyo ilizua nadharia kwa miaka mingi , huku watu wakidai kwamba ni shirika moja la kisiri ambalo nia yake ni kuteka ...
Maelezo ya sauti, Jamii Tanzania inaweza kusaidia kumaliza dawa za kulevya? 21 Aprili 2017 Tatizo la dawa za kulevya nchini Tanzania limedaiwa kuchangia vifo na taifa kupoteza nguvu kazi pamoja na ...
Msafiri Mwajuma Mariam ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Usawa wa KIjinsia anasema Jamii inapaswa kutambua kuwa ukatili wa kijinsia ni adui wa Maisha ya mwanadamu hivyo juhudi za Pamoja ...
Kuimarisha hali, uhifadhi unafanywa na jamii, wanasayansi, wasimamizi, watunga sera, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs), na wafadhili wahisani. Kwa Zanzibar haswa eneo la Mnemba, mradi huu ...