Kati ya ukosefu wa usawa katika upatikanaji wa matunzo na ubaguzi, ripoti yenye kichwa "Hebu tufuate njia ya haki" inaangazia haja ya kudhamini haki za binadamu ili kutokomeza janga hili.
Watafiti wamebaini fuvu la binadamu wa kale lililoishi zaidi ya miaka milioni 3.8 huko nchini Ethiopia. Utafiti huo unatoa changamoto mpya kuhusu binadamu wa kale walivyokuwa wanaishi ...
Wanasayansi wamebuni kamera yenye uwezo ya kupiga picha viungo vya ndani ya mwili wa binadamu. Kifaa hicho kimeundwa kuwasaidia madaktari kusaka vifaa vya madaktari, vinavyofahamika kama ...