Baada ya kufuzu masomo ya Chuo Kikuu, Priscilla Umutashya Ruzibuka hakusubiri kuajiriwa. Aliamua kuanzisha kampuni yake ya mitindo ya mavazi chini ya nembo Ki-pepeo Kids mjini Kigali. Aliweza ...
Huenda asijihisi kuwa mrembo ,lakini Sandra Bullock ndiye mwanamke mrembo duniani. Iwapo anaamini hilo au la ,nyota huyo wa filamu mwenye umri wa miaka 50 ametangazwa na gazeti la People magazine ...